Hii
ni picha ya Diamond akiwa hospitali baada ya kubanwa ghafla na kifua na hivyo
kwenda kufanyiwa uchunguzi ili kujua tatizo. Kwa mujibu wa Ommy Dimpoz ambaye ni
mshikaji wake wa karibu tayari msanii huyo amesharuhusiwa lakini majibu ya
vipimo vyake yatatoka kesho.
Miezi
ya hivi karibuni Diamond amefululiza kufanya show katika mikoa mbalimbali bila
kupata mapumziko ya kutosha na huenda hiyo ndio ikawa ni
sababu.
Kupitia
Twitter Diamond ameandika "Dah hali yangu si nzuri, naumwaaa."
ameumia sana moyoni mwake msanii huyu. mbagala, safari, moyo wangu, binadamu na ninpende nani. msanii huimba anayoyapitia. hizi nyimbo zake zote ni shida za moyo tu zinazomsumbua.
ReplyDeleteHi, the ωhole thing iѕ going sound here and ofcouгse every one is sharing
ReplyDeletedata, that's really excellent, keep up writing.
My webpage > tiny url
Hі thеre i am kavin, its my first
ReplyDeletetimе to сοmmеnting anywhere, when і read
thіs pοst і thοught і сοuld аlso make comment ԁue to thіs sensible article.
Feel free to visit my page : formal dresses size 16