MAMIA YA WACHAGA WAKIJICHANA KWA NYAMA CHOMA NA MBEGE,,
Wadau wakipata mbege wakati wa tamasha la CHAGGA DAY lilofanyika katika
viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam jana.
Masta wa tamasha la chagga day (katikati) Mkurugenzi wa Kampuni ya
MyWayEntertainment, Paul Maganga pamoja na wadau wengine wakiwa kwenye picha ya
pamoja.
Mdau akipata mbege.
Wadau
wakifurahia utamu wa mbege.
Wadau mbalimbali wakipata mbege pamoja na vyakula vya kiasili kama mseto Kiburu,
ndafu, shiro, kitawamacharari, ngararimo, ng’ande, kisusio, mtori, Kisusio na
vingine vingi.
Watu mbalimbali walioudhuria katika Chagga Day wakipata Nyama choma.
Vimwana wa bendi ya twanga wakionyesha umahiri wao wakiongozwa Luiza Mbutu
wakati wa chagga day
No comments:
Post a Comment