Jul 29, 2012

UTAPELI WA MUIMBAJI CHAMELEONE WAMUWEKA PABAYA..




Muimbaji  chameleon  kutoka  Uganda  ni  mwizi  sana .Hapa  Uingereza  amesha tapeli watu  kishenzi  staili hiyo  hiyo na  maneja  wake. Ni  mchezo  wake. Akirudi  hapa  UK anaweza  kupigwa  mawe. Bangi  zina  msumbua  tuu. Yeye  ninani  mtu ambaye hawezi  kumuheshimu  mwakilishi  wa  Rais  wetu  Uganda. Balozi  wetu pale  kampala, Nashanga  serikali ya  Uganda   wamemsikiliza na   kuifanya  hii  ishu  itake   kuharibu  uhusiano  mkubwa  kati  ya  nchi  hizi  mbili. Hivyo   chameleone   mnamjua? juzi kawa muislam  kesho  yake  karutadi  tena .Bangi  haziwezi  zina  mpelekesha.  Anafaa   kua  jela  maana  ni  msanii  jambazi. Huko  kampala wamesha   rushiana  risasi na  msanii Bobby  wine.  Naomba  watanzania  wote muwe macho na chameleon.  Hon  membe  tunaomba  hili  ulifanyie  kazi kwamba  wageni  hawezi  kuja  na  wakatu abuse  hata  nyumbani  kwetu.  Bwana  Erik   nawe  usije  uka shika  passport  ya  mtu  ni    document  ya  serikali wala sio  mtu binafsi.

No comments:

Post a Comment