Liz nakushimu sana, hilo vazi ulilovaa lina maana sana kwetu wa Waislamu. So you either njoo uwe Muislamu au tuachie mavazi yetu. Ni vazi muhimu sana hilo. Ni kama vile mimi nivae Msalaba wakati siamini lolote juu ya msalaba huo.
Asante sana kwa kusema kilichoko moyoni mwako na nilipewa zawadi ya hilo vazi ndio maana nikalivaa kama lilivyo ila kama umehisi ni appropiate nachukua nafasi hii kuomba msamaha ila nia yangu haikuwa mbaya.
Liz nakushimu sana, hilo vazi ulilovaa lina maana sana kwetu wa Waislamu. So you either njoo uwe Muislamu au tuachie mavazi yetu. Ni vazi muhimu sana hilo. Ni kama vile mimi nivae Msalaba wakati siamini lolote juu ya msalaba huo.
ReplyDeleteAsante sana kwa kusema kilichoko moyoni mwako na nilipewa zawadi ya hilo vazi ndio maana nikalivaa kama lilivyo ila kama umehisi ni appropiate nachukua nafasi hii kuomba msamaha ila nia yangu haikuwa mbaya.
ReplyDelete