WELCOME TO MY BLOG AND HAVE FUN...You can Translate to any language you want by clicking TRANSLATE on the side..
Aug 4, 2012
WATANZANIA DMV VUNJENI MATABAKA.....
Kama Mtanzania niishie DMV nawaomba watanzania wenzangu tupendane tusiwe na matabaka sio mambo ya CHADEMA Vs CCM or WAISLAM Vs WAKRISTO wote ni ndugu tupendaneeeeeee. Na kama mtu unatatizo ni bora u address kuliko makundi kusemana jamani maendeleo yatatoka wapi? Kama mwenzako anatatizo tusaidiane sio oooh huyo CHADEMA au CCM au MUISLAM au MKRITO tusimsaidie, huo ni ujinga kabisa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
wewe dada mimi nimekupa heshima usipoteze mda watanzania kazi kubwa ni kulalamika hawana zaidi wanachojuwa endelea na kazi very good point nimeipenda hii blog good job tunasema neno kuntuuu
ReplyDeleteAsante sana ndugu uliye comment ila wakati mwingine inabidi tukumbushane maana makundi sasahivi yamekuwa mengi hali inatisha jamani.....
ReplyDeleteMwana hanga Liz umeona eeejamani wake kwa waume hatushikiki makundi mijitu minima Haina cha kufanya kelele. Tu embu jamani tutafute maisha siyo kuchunguzana maisha haisaidii wengine wapo tu kujidai Wana status za watu wote ulimwenguni basi muulize yeye status yake oooooo ,bure kabisa
ReplyDelete