Mwenyekiti wa CCM,
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndugu Philip
Mangula (kushoto) na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana wakiingia katika
ukumbi wa mikutano wa White House uliopo makao makuu ya CCM mjini Dodoma
leo.Rais Kikwete amefungua na kuongoza semina kwaajili ya wajumbe wa Halmashauri
kuu ya CCM taifa ambayo pamoja na mambo mengine itachagua wajume wa Kamati
kuu.
Mwenyekiti wa CCM Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akielekeza jambo wakati wa ufunguzi wa Semina maalum
kwaajili ya wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM taifa iliyofanyika mjini Dodoma
katika ukumbi wa White House makao makuu leo.Kushoto anayesikiliza kwa makini ni
Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CCM bara Pius Msekwa.Wengine katika picha ni Rais
Wa Zanzibar ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed
Shein(Wapili kushoto),Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana(wanne kushoto),
na kulia ni Makamu Mwenyekiti CCm Bara Ndugu Philip Mangula

Baadhi ya wajumbe wakiwa
kwenye semina hiyo
Baadhi ya maofisa wa
Chama wakiwa kwenye semina hiyo
Baadhi ya wajumbe wakiwa
kwenye semina hiyo
Baadhi ya wajumbe kwenye
semina hiyo
Katibu Mkuu mstaafu wa
CCM, Wilson Mukama akisalimiana na Katibu wa NEC, Oganaizesheni mstaafu Asha
Abdallah Juma nje ya ukumbi kabla ya kuanza semina. Mukama na Asha sasa ni
Wajumbe wa NEC.
No comments:
Post a Comment