Jul 29, 2012

MCHUNGAJI AMANI GOLUGWA AHUDHURIA MKUTANO WA KIMATAIFA WA UKIMWI WASHINGTON DC .
Mwenyekiti wa tawi la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Washington DC, Mh. Cosmas Wambura, akiwa na Katibu wa Chadema mkoani Arusha, Mchungaji Amani Golugwa, walipohudhuria katika Mkutano wa kimataifa wa UKIMWI (AIDS 2012) Washington DC uliomalizika rasmi juzi Ijumaa Julai, 27 Convention Center Washington DC. 
Rais wa zamani  wa Marekani, Bill Clinton akitoa hotuba ya kufunga  rasmi Mkutano wa Kimataifa wa UKIMWI uliofanyika kwa siku kadhaa mjini  Washington DC siku ya Ijumaa Julai 27, 2012 ambapo mataifa malimbali yalijumuika katika kupiga vita ugonjwa sugu duniani wa HIV.

No comments:

Post a Comment