Jul 28, 2012

MKAZI WA MOROGORO AFARIKI BAADA YA KUGONGWA NA TRENI...

Wananchi wakishuhudia mtanzania mwenzao akikata Roho baada ya kupitiwa na Treni..
Marehemu alipoteza Damu kwa wingi na kusababisha kufariki Dunia....
Askari wa usalama barabarani wakisaidiana na wananchi kuingiza mwili wa marehemu kwenye gari ya polisi....
Kibanda alichokuwa akiishi kijana huyo...

No comments:

Post a Comment