Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake
na Maendeleo (WAMA) na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifungua rasmi mkutano wa
wadau wa chanjo wa uraghibishi kuhusu uanzishaji wa chanjo mbili mpya za kukinga
magonjwa ya nimonia na kuhara kwa watoto. Mkutano huo ulifanyika katika hoteli
ya Serena,jijini Dar es Salaam tarehe 14.8.2012. Taasisi ya WAMA hujishughulisha
pia na masuala ya afya ya mama na mtoto.
No comments:
Post a Comment