Aug 13, 2012

MAPOKEZI YA DK. ULIMBOKA

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madakatari Tanzania, Dk. Steven Ulimboka akipata mapokezi makubwa wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana, akitokea nchini Afrika Kusini kwa matibabu baada ya kutekwa na kuteswa na watu wasiojulikana.. Wanaharakati wakipaza sauti wakati wa mapokezi ya Ulimboka.

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madakatari Tanzania, Dk. Steven Ulimboka akiwa ameshika ua mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana, akitokea nchini Afrika Kusini kwa matibabu.

No comments:

Post a Comment