Sep 17, 2012

BOMOABOMOA SINZA MORI, BAMABA YAPAMBA MOYO......   Greda la Manispaa ya Kinondoni likiwa eneo la tukio  tayari kuanza kazi.
  Wakazi waliokumbwa na bomoabomoa hiyo wakihamisha vitu visiharibiwe na greda.
   Greda likivunja geti la moja ya nyumba hizo.
    Askari mgambo wa Manispaa wakiangalia kwa makini ubomoaji wa nyumba hizo.
    Mmoja wa mgambo waliokuwa katika zoezi hilo la ubomoaji, akisaidia kutoa vyombo.
ILE sera ya mipango miji katika Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, imepamba moto baada ya wakazi wa Sinza Mori na Bamaga kubomolewa nyumba zao kufuatia kujenga sehemu zilizotengwa kwa ajili ya barabara.
Zoezi hilo lililoacha simanzi, majonzi na vilio kwa wakazi hao, limefanyika leo na kushuhudiwa na kamera yetu.
(Habari /Picha : Haruni Sanchawa) 

No comments:

Post a Comment