Sep 25, 2012

DESIGNER KUTOKA TANZANIA AALIKWA KWENYE BIG FASHION SHOW NEW YORK CITY,,,

 

Ni moja kati ya wana mitindo wanaofanya vizuri sana BONGO na ame design watu wengine sana huyu si mwingine ni Martin kadinda. fashion designer huyu amepata nafasi ya kwenda kuhudhuria New York fashion ambayo yanafanyika nchini marekani New York.Pia amekuwa fashion designer wa kwanza kwa hapa Africa kwa kupata mwaliko huu wa New York fashion.

No comments:

Post a Comment