Sep 5, 2012

HII KALI SANA... HEBU CHEKENI KIDOGO JAMANI....

WATU WAKO KWENYE SEMINA, WAKAANZA KUJITAMBULISHA KILA MMOJA...

JAMAA WAKAANZA;

1. MIMI NAITWA ANNA NIKO MWAKA WA KWANZA CHUO KIKUU MUHIMBILI NASOMA MEDICINE .

2. MIMI NAITWA DAVID NIKO MWAKA WA PILI KTK CHUO KIKUU CHA MZUMBE NASOMA SHERIA.

3. MIMI NAITWA ADAM NIKO MWAKA WA TATU KATIKA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM NASOMA COMPUTER SCIENCE.

SASA IKAFIKA ZAMU YA YULE JAMAA ANAYE SUA SUA ,,,,

4. MIMI NAITWA COSMAS NIKO MWAKA WA NNE TANESCO NASOMA MITA.... UKUMBI MZIMA KICHECHOOOOO

No comments:

Post a Comment