Sep 24, 2012

KWETU FASHION ILIFUNIKAJEEEE,,,,,

Pic from Vijimambo,,,

Kaimu Balozi Mhe. Lilian Munanka akizungumuza machache...
Mhe. Lilian Munanka Kaimu Balozi wa Tanzania Nchini Marekani (kulia) akiwa na mgeni wake kwenye Kwetu Designs and Dinner Fundraiser iliyofanyika Takoma Park Jumapili Sept 23, 2012
Familia ya Kwetu Fashion Designs katika picha ya pamoja.
Juu na chini Model wakipita mbele ya watu waliohudhulia kwenye maonyesho hayo ya mvazi
Kwa picha zaidi Bofya Read More

 

 


No comments:

Post a Comment