Sep 26, 2012

MAMBO YA BONGO NA WASANII......


AMANDA POSHY: BWANA MISOSI AMENIFANYA NIRUDISHE UPENDO KWA WANAUME...........

Msanii wa filamu nchini Tanzania Amanda Poshy aelezea mahusiano yake yeye na msanii wa Bongo Flavour maarufu kama Bwana Misosi.....
''Ni kweli kwasasa nipo na Bwana Misosi na yeye ndiye kanifanya nirudishe upendo,maana nilikuwa nimewachukia sana Wanaume na kukata tamaa kuwa sito pendwa wala kumpenda Mwanaume yeyote'' sasa warejea pamoja na mapenzi MOTOMOTO.........Hongera  sana napenda kusikia watu wanapendana 
Lady Detective inawatakia mafanikio mema sana......

No comments:

Post a Comment