Rick Ross
Imethibitishwa kuwa msanii atakaekuja Kuperform katika jukwaa la SERENGETI FIESTA ya Dar es salaam 2012!! ni RICK ROSS....Tamasha hilo ambalo litafanyika October 6 kwenye viwanja vya Leaders Club, Diamond the Platnum ndio atakuwa mwenyeji wake....
No comments:
Post a Comment