SINTAH AMJIBU AGNESS MASOGANGE JUU YA USAMABAZAJI WA MKANDA WA X WA MASOGANGE
Akizungumza na mwandishi wetu mapema leo Sintah amesema kuwa amesikitishwa sana na kitendo cha Agness kumtaja yeye (Sintah) kuwa ndiye anahusika na kuisambaza kwenye mitandao video inayomuonyesha Agness akiwa mtupu huku pia akionekana kufanaya matendo kadhaa ya kingono.
"Nimemsikia na isitoshe kuna watu wengi wameniambia juu ya hilo la kunitukana na kunitaja redioni kuwa nahusika, mimi sijui lolote awaulize marafiki zake ambao mimi naamini ndiyo wanahusika kuzisambaza kwani hata kwenye BBM yangu ni wao ndiyo walinitumia namuomba afunge bakuli lake la siivyo nitazitoa zaidi kwani ninazo pati wani mpaka 3 na zote nimetumiwa na marafiki zake ambao yeye anacheka nao lakini hajui kama ni ma-sn***ch" alisema Sintah
No comments:
Post a Comment