Oct 15, 2012

MAGDALENA ROY ATWAA TAJI LA TOP MODEL REDD'S MISS TANZANIA 2012Mshindi wa Top Model Redd's Miss Tanzania 2012, Magdalena Roy akiwa katika pozi.
Mshindi wa Top Model Redd's Miss Tanzania 2012, Magdalena Roy
(katikati anaepungia mkono) akiwa na washiriki wenzake alioingia nao hatua ya
tano bora katika shindano lililomalizika usiku wa kuamkia leo
kwenye ukumbi wa hoteli ya Naura Springs, Jijini Arusha.
Magdalena Roy (wa kwanza kushoto) wakati wa shindano hilo.

No comments:

Post a Comment