Oct 7, 2012

MH. RAIS JAKAYA KIKWETE KATIKA ZIARA RASMI NCHINI CANADA......


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi katika kitabu cha wageni mara baada ya kuweka
shada la maua katika kaburi la askari shujaa katika bustani ya Confederation Square
jijini Otttawa Alhamisi Octoba 4, 2012

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisimama wakati wimbo wa Taifa wa Tanzania ukipigwa
mara baada ya kuweka  shada la maua katika kaburi la askari shujaa katika
bustani ya Confederation Square jijini Ottawa Alhamisi Octoba 4, 2012.
Mbele yake ni baadhi ya veterani wa kijeshi waliohudhuria hafla hiyo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi ya sanduku la Zanzibar (Zanzibar chest)
Waziri Mkuu wa Canada Mhe Stephen Harper katika jengo la Bunge la Seneti la nchi hiyo
Alhamisi Oktoba 4, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua katika kaburi la askari shujaa
katika bustani ya Confederation Square jijini Ottawa Alhamisi Octoba 4, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea jezi toka kwa Waziri Mkuu wa Canada
Mhe Stephen Harper katika jengo la Bunge la Seneti la nchi hiyo,
Alhamisi Oktoba 4, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipanda mti katika bustani ya Jumba la Rideau Hall
jijini Ottawa katika siku ya pili ya ziara yake rasmi nchini Canada huku akishuhudiwa na Gavana Jenerali wa nchi hiyo Mhe David Johnson na mkewe Mama Sharon Johnson Alhamisi Oktoba 4, 2012

No comments:

Post a Comment