Oct 27, 2012

PESA MWANAHARAMU SANA UNAWEZA KUTOKA MKRISTU KUWA MPAGANI BILA KUJIJUA,,, HAYA JANET WEE KULA RAHA NA ASALAAM ALEYKUM HUYO...SWALI JE UTAACHA KUIMBA NUSU UCHI AU NDIO UTAIMBA NA HIJABU,,,,,


JANET JACKSON AMEBADILI DINI TAYARI KWA KUFUNGA NDOA.....

Wissam Al Mana Na Janent Jackson
 Inasemekana kuwa Janet Jackson (46) Wissam Al Mana(36) amabae ni tajiri kutoka Qatar,wamekuwa na mahusiano ya kimapenzi tangia mwaka 2010 na sasa wamefikia maamuzi yakuwa Mume na Mke na hatua hiyo imempelekea Janet Jackson kubadilisha dini na sasa Janet ni Muislamu....Ndoa hiyo inatarajiwa kufanyika Doha nchini Qatar mwaka 2013 na kwa sasa tayari sherehe imeanza kupangwa.....

No comments:

Post a Comment