Oct 26, 2012

RAHMA T. ALI AMPOTEZA NYARAKA MUHIMU YEYOTE ALIYEOKOTA AWASILIANE NAYE KWA SIMU ILIYOPO HAPO CHINIMimi  Rahma T. Ali, mwananfunzi wa International Medical and Technological University (IMTU), naomba unisaidie kuweka tangazo langu katika blog yako.
 Nimepoteza wallet  yangu maeneo ya Muhimbili hospitali. Wallet hiyo ilikuwa na fedha kidogo (15,000 Tsh) na “documents” zangu muhimu zifuatazo. 1. ATM cards mbili (2 ) za NBC,  2. Kitambulisho cha Bima ya afya (NHIF), 3. Kitambulisho cha ukaazi cha Zanzibar  4. Kitambulisho cha uwanafunzi cha IMTU na 5 Picha aina ya passpot size mbili (2).
 Hivyo basi kwa heshima kubwa, naomba mtu yoyote atakae iona/okota wallet yenye vitu hivyo au baadhi ya vitu hivyo awasiliane nami kwa  +255659891110 au aviwasilishe idara ya masikio, pua na koo ”Department of ENT” hapo muhimbili hospitali.
 Natanguliza shukrani zangu za dhati
 Mimi Rahma, T. Ali

No comments:

Post a Comment