Oct 15, 2012

SASA NI WEHU AU NI NINI MAKANISA YAMEKOSA NINI? LAANA TUPU WATU WANAJITAFUTIA,,,,,


RAIS KIKWETE ATEMBELEA MAKANISA YALIYOHARIBIWA KATIKA VURUGU ZA WAISLAMU MBAGALA.....

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia uharibifu mkubwa uliofanywa katika kanisa la
Pentekoste la Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita
kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea Msahafu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Mchungaji Alkwin Mbawi
uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye magari yaliyokuwa yameegeshwa
ndani ya kanisa la Pentekoste la Mbagala.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Katibu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya
Dar es salaam Bw. M Mkosimonga  uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye kanisa hilo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole kwa baadhi ya waumini wa  Kanisa la
Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam
kufuatia uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye kanisa hilo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Katibu wa Kanisa la
Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Bw. M Mkosimonga
uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye kanisa hilo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Askofu Msaidizi wa Kanisa la Kiinjili la
Kirutheli Dayosisi ya Dar es salaam na Pwani Mkosimonga.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Katibu wa Kanisa la
Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Bw. M Mkosimonga
uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye kanisa hilo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Mchungaji Alkwin Mbawi uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye kanisa la Pentekoste la Mbagala jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Askofu Msaidizi wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheli Dayosisi ya Dar es salaam na Pwani Mkosimonga  uharibifu mkubwa uliofanywa.

No comments:

Post a Comment