Nov 26, 2012

MAMBO YA CCM YALIVYONOGA MJINI ARUSHA,,, NA MWANACHADEMA KUTOKA MACHOZI NA KURUDISHA KADI YA CHADEMA NA KUVAA UZALENDO,,,,WANAWAKE OYEEEEEEE CCM JUU,,,MTASHANGAA SANA KADI NDIO ZINARUDI HIVYOOOOO,,,,



 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Sheikh Amr Abeid, baada ya kuvalishwa mavazi ya heshima ya moja ya makabila ya mkoa wa Arusha


Wana CCM Halisi Hao mjini Arusha,,

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara wa CCM Uwanja wa Sheikh Amri Abeid

 Baadhi ya wananchi wakipigapicha kwa kutumia kamera na simu zao ili kupata kumbukumbu ya matukio mbalimbali  wakati wa mkutano huo




Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM, Khamis Sadifa Juma. akizungumza kwenye mkutano wa CCM uliofanyika Sheikh Amri Abeid jijini Arusha

 

Aliyekuwa diwani wa Chadema, Rehema Mohammed ambaye amehamia CCM, akibubujikwa machozi jukwaani wakati akitangaza kuhamia CCM wakati wa mkutano huo(DUH NIMEMPENDAJE MWANAMPOTEVU AREJEA KUNDINI)





Maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano huo.



Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akishiriki kucheza 'kiduku' Msanii Malow alipotumbuiza wakati wa mkutano huo.



No comments:

Post a Comment