Feb 27, 2013


BENKI YA STANBIC WAMUAGA KINANA

 Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Stanbic, Bw. Hatibu Senkoro (Katikati) akizungumza wakati wa mkutano wa bodi uliofanyika Makao Makuu ya benki jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Stanbic, Bw Bashir Awale na Mkuu wa kitengo cha Sheria wa benki Bw. Sioi Solomoni (Kushoto).
 Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Stanbic, Hatibu Senkoro (waliosimama mbele kushoto) akimkabidhi zawadi  Mjumbe aliemaliza muda wake, Mh. Abdulrahman Kinana (waliosimama mbele kulia) katika Makao Makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam jana. Wengine ni kutoka kushoto ni Mjumbe wa Bodi, Dkt. Hamis Kibola, Mkuu wa Sheria wa Stanbic Bw. Sioi Solomon, Mkurugenzi Mtendaji wa Stanbic Bw. Bashir Awale, Nada Margwe na Bw. George Alliy.

Mjumbe wa Bodi ya Benki ya Stanbic ya Tanzania, Dkt. Hamis Kibola (aliyesimama) akiteta jambo wakati wa kikao cha bodi hiyo kilichofanyika katika Makao Makuu ya benki jijini Dar es Salaam jana. Kulia kwake ni Bw. Nada Margwe, Dkt Hamisi Kibola na Mjumbe wa bodi hiyo aliemaliza muda Mh. Abdulrahman Kinana.

No comments:

Post a Comment