Feb 21, 2013

NSSF YATOA SEMINA KWA WAFANYAKAZI WA MWANANCHI COMMUNICATIONS LTD KUHUSU MIKOPO YA SACCOS


 Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akifafanua jambo wakati mkutano na wafanyakazi wa Kampuni ya Mwananchi Communications kuhusu mikopo ya Saccos kwa wanachama wa NSSF. Kushoto ni Meneja Kiongozi, Uhusiano wa NSSF, Eunice Chiume na Meneja Mipango na Uwekezaji wa Shirika hilo, Mseli Abdalah. 
Mhariri Mtendaji wa Mwananchi Communications Ltd, Bakari Machumu akizungumza wakati wa mkutano na viongozi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kuhusu mikopo ya Saccos kwa wanachama wa NSSF.
 Meneja Mipango na Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mseli Abdalah akifafanua jambo kuhusu mikopo ya Saccos kwa wanachama wa NSSF wakati wa mkutano na wafanyakazi wa Mwananchi Communications Ltd jijini Dar es Salaam. Kushoto ni  Mhariri Mtendaji wa Mwananchi Communications Ltd, Bakari Machumu, Meneja Kiongozi, Uhusiano wa NSSF, Eunice Chiume na Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori.
Mwenyekiti wa  Saccos ya Mwananchi Communications Ltd, Haura Shamte akifafanua jambo wakati wa mkutano huo.
Mwanachama wa Soccos ya Mwananchi Communications Ltd akiuliza swali wakati wa mkutano huo.  
 Wafanyakazi wa Mwananchi Communications wakiwa katika mkutano huo.
 Maofisa wa NSSF.
 Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Mwananchi Communications waliohudhuria mkutano huo.


No comments:

Post a Comment