Feb 11, 2013

SEMINA YA MIKAKATI YA KUONDOA TATIZO LA AJIRA NCHINI


Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk.Shukuru Kawambwa akibadilishana mawazo na Waziri wa Kazi na Ajira Mheshimiwa Gaudencia Kabaka wakati wa Mkutano wa halmashauri kuu ya Taifa ya CCM ambapo leo semina juu ya Mikakati ya Kuondoa tatizo la ajira nchini.


Katibu wa NEC,Uchumi na Fedha ,Zakia Meghji,akibadilisha mawazo na Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi pamoja na Katibu Mkuu  Ndugu Abdurahaman Kinana  leo, Dodoma .

Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Ndugu Mwigulu Nchemba  akijadiliana jambo na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk.Shukuru Kawambwa wakati wa semina juu ya kuondoa tatizo la ajira nchi.


Katibu wa NEC ,Itikadi na Uenezi na Katibu wa NEC,Uchumi na Fedha wakijadili jambo la ajira kwa nchi nzima wakati wa semina ya mikakati ya kuondoa tatizo la ajira nchini, leo kwenye ukumbi wa NEC,Dodoma.


Wajumbe wakiwa kwenye semina ya Mikakati ya Kuondoa tatizo la ajira nchini.Ally A. Msaki akitoa mada juu ya HALI YA AJIRA NCHINI NA MIKAKTI YA SERIKALI kwa niaba ya Waziri wa Kazi na Ajira,kwa wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, inayofanyika Dodoma leo.

Baadhi ya wajumbe wakifuatilia kwa makini semina juu ya Mikakati ya kuondoa tatizo la Ajira Nchi

No comments:

Post a Comment