Mar 11, 2013

MAMBO YA SAFARI LAGER NYAMA CHOMA KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB,JIJINI DAR Gazebo la Safari Lager likiwa limewahifanyi wateja wa Nyama choma waliokuwa wamefika kwenye Viwanja vya Leaders Club jijini Dar kwenye bonanza la Safari Lager Nyama Choma.
 Wadau wakicheza Pool wakati wakisubiri nyama ziive ili wakweze kujipatia kitu roho inapenda.
 Mzigo uko jikoni.
 Wengine walikuwa wakicheza Mchezo wa Vishale wakati wakisubiri mambo ya Nyama Choma yawe tayari tayari.
 Jamaa akigeuza nyama jikoni.
 Lango Kuu la Kuingilia Leaders Club leo lilikuwa likonekana namna hii.
 Foleni ya kusubiri nyama katika banda ya Fyatanga ambao waliibuka washindi wa pili katika shindano la wachomaji bora wa Nyama hapa jijini Dar,wakati Bar ya Titanic kutoka Vingunguti wakiibuka washindi wa kwanza.
 Wadau kutoka TBL.
 Nyama zikipelekwa kwa walaji.
 Wadau wakigonga mambo yao wakati wa Bonanza hilo la Safari Lager nyama choma.

No comments:

Post a Comment