Mar 11, 2013

MICHEZO YA WATOTO,,


Watoto uwaleavyo ndivyo wakuavyo-watoto wa Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam wakishiriki kucheza bao la mchangani.
Watoto wa Gongo la Mboto wakicheza mchezo wa mdako.

No comments:

Post a Comment