Mar 22, 2013

Pinda akutana na Papa Francis 1, Vatican City.


Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akisalimiana na Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis 1 , Vatican City, Machi 21, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakisalimiana na Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis 1 ,Vatican City Machi 21, 2013)

No comments:

Post a Comment