Apr 30, 2013

PADRI WA KANISA KATOLIKI AFUMANIWA NA MKE WA MTU LIVE..

JAMANI MNAMJUA HUYU MBURURAAAA????

AIBU GANI WEWE PADRI WA KANISA KATOLIKI UNANYEGE GANI MPAKA UKAMLALE MKE WA MTU WEWE NI LAANA HIYO JAMANIIIII,,,,, DAMN IT,,,


KANISA Katoliki Jimbo la Moshi limeingia katika kashfa nzito baada ya padri wake, Father Urbanus Ngowi wa moja ya parokia zake kudaiwa ku fumaniwa  na mwanamke anayesemekana ni mke wa mtu, Ijumaa Wikienda lina sakata zima.

MSHANGAO: Father Ngowi akiwa ameduwaa baada ya kufumaniwa akiwa na mke wa mtu aliyejulikana kwa jina la kijamii la Mama P.

Sakata la fumanizi hilo linadaiwa kutokea Jumatatu ya wiki iliyopita chumbani kwa padri huyo, Marangu Wilaya ya Moshi  Vijijini ambako Father Ngowi inasemekana alikutwa ‘laivu’ akiwa na mwanamke huyo aliyejulikana kwa jina la kijamii la Mama P.
Pamoja na kunaswa huko, vyanzo havijaeleza humo chumbani wawili hao walikuwa wakifanya nini!
Habari zinadai siku ya tukio, mwanamke huyo aliingia nyumbani kwa padri huyo ambapo baadhi ya ndugu wa mumewe walikuwa wakimfuatilia baada ya madai yaliyokuwepo kwamba ana ukaribu wenye maswali mengi na mtumishi huyo wa Mungu.
“Unajua siku nyingi ilivuma kwamba Mama P na Father Ngowi wana ukaribu wenye maswali mengi, mume wake alifuatilia na kubaini ni kweli lakini akashindwa kuutenganisha ukaribu wao,” kilidai chanzo.SHAME ON YOU MWANAMKE ULIYE SCREW  PADRI...


No comments:

Post a Comment