Apr 15, 2013

UTT YAZINDUA HUDUMA MPYA YA MIKOPO KWA AJILI YA WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO


Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji  (UTT), Dk. Hamis Kibola akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya kukopesha kwa ajili ya kuendeleza biashara kwa wafanyabishara wadogo na wa kati kwa masharti nafuu. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano, Daudi Mbaga na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Mfuko huo, James Washima. 
 Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Mfuko huo, James Washima akifafanua jambo wakati wa uzinduzi huo.
Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Mfuko huo, James Washima akifafanua jambo wakati wa uzinduzi huo.
Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Mfuko huo, James Washima akimkabidhi mkopo wa shis milioni 4 Mkuu wa madereva wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma, Mrisho Ngongo.
Picha ya pamoja

No comments:

Post a Comment