May 8, 2013

COUPLE ZILIZOTAMBA KWENYE KAPETI JEKUNDU 2013 MET GALA

KAMA WEWE NA WAKO HAMKO KWENYE FASHION MTAJAZA,,,, WAACHENI HAWA CRONIC WA HOLLYWOOD WAJINAFASI....


UWIII I LOVE THIS COUPLE ITS HOT AND SEXY CASPER SMART AND JLO

AMANDA SEYFRIED NA MPENZI WAKE" yes mpenzi wake" ANNE HATHAWAY
NBA PLAYER AMAR'E STOUDEMIRE NA MWENYE MALI ZAKE ALEXIS WELCH.

KANYE WEST NA BI KIM KARDASHIAN JAMANI NGUO YA HOVYOOOO SANA,,,
TIGER WOOD WITH HIS NEW GIRLFRIEND LINDSEY VONN.. Ukichemsha na Hapo unatwangwa tena devorce bora u sign Prenap kabla hujafilisiwa na hao wazungu...Au funga zipu..

No comments:

Post a Comment