May 21, 2013

JIANDAE NA KIJIWE CHA UGHAIBUNI BAADAYE LEO JUMANNE MAY 21


 Leo Jumanne May 21, 2013 kipindi chako ukipendacho KIJIWE CHA UGHAIBUNI kitakuwa hewani kama kawaida. Pichani  wanakijiwe wakiwa kwenye kipindi kwa ajili ya kurekodi. kutoka kushoto ni Benja Mwaipaja, msanii wakucheza na nyoka Salma Moshi, Liz Luhanga na Yasin Randi.
 Liz Luhanga na Yasin wakichangia jambo kwenye Kijiwe kitakachorusha baadaye leo Jumanne.
Benja na Salma Moshi wakilumbana kwenye Kijiwe Leo ndio Leo wakina baba wamekabwa koo na akina mama wameshindwa kufurukuta imebidi wakimbie kipindi USIKOSE

No comments:

Post a Comment