May 14, 2013

MATONYA... NIKIKUKAMATA SHILOLE UTANIJUA MIE NDO MATONYA LA SIVYO NILIPE PESA ZANGU.Bongo Flava artist Matonya kupitia YOU HEARD ya XXL ametiririka kuwa eti anamdai Msanii mwenzake maarufu kama Shilole pesa kibao, ambazo yeye matonya alizotoa kama malipo ya show ambayo Shilole alitakiwa kwenda kuifanya mkoani Singida, kwa mujibu wa Matonya ametiririka kuwa Shilole hakuenda kwenye show hiyo na kila akimpigia simu haipokelewi, Liz Haynes Ikabidi nicheki na Shilole na hakuweza kupatikana ikabidi nicheki na meneja wake anayefahamika kama Hamza Bala yeye akatiririka kuwa hakuna taarifa kama hizo bali wao ndio wanamdai matonya kwa sababu amewachafulia Jina lao, na very soon wanaenda mahakamani.

No comments:

Post a Comment