May 12, 2013

WANAUME WAWILI WAFUMANIWA WAKILA URODA GEST...


SHAME ON YOU BABA SALOME NA HUYO BASHA MWENZIO MWITA,,,,,

BAADA YA MWITA NA BABA SALOME KUPATA BAO SASA WAJIANDAA KUJISAFISHA.. BOOOM FUMANIZI HILOOOO

Fumanizi lilipo pamba Moto mwanaume akukuruka kukimbia camera ila wapi Lady Dective kishamnasa.
Bwana Mwita akijaribu Kukimbia sakata la Fumanizi.
FUMANIZI TAAP!
Huku mumewe na mwanaume mwenzake wakiwa hawana hili wala lile kule chumbani, mlango ulisukumwa na kufunguka ambapo mwanamke huyo aliwakuta wawili hao wakiwa wameshavua baadhi ya nguo. Wote walishtuka kuona wameingiliwa!
“Yaani roho inauma sana, sijui ni kitu gani umekosa kwangu mpaka unakuja kwa mwanaume mwenzako jamani baba Salome,” alisema huku akilia mama Salome.
MWANAUME MMOJA AANGUA KILIO
Baada ya kugundua wamenaswa, mwanamke aliyekuwa na baba Salome aliangua kilio huku  akiomba kusamehewa kwa vile yeye ni mume wa mtu, lakini kilio chake hakikusikika kwa polisi ambapo waliwafunga pingu na kuwataka kuelekea katika kituo cha polisi.


Mama Salome Akimpa Kisago Baba Salome Mumewe baada ya kumfumania akila URODA na Mwita.

“Unajua tatizo lilianzia wapi? Baba Salome na yule mwanaume mwenzake walionekana wakiingia gesti moja kisha wakatoka, wakaingia nyingine pia wakatoka, ndipo watu wanaowafahamu wakajiuliza kulikoni wawili hao kutembelea gesti siku hiyo, wakawafuatilia,” alisema mnyetishaji mmoja.
Akaendelea: Lakini watu waliwafahamu kwa namna mbili tofauti, baba Salome ni mtulivu, mwadilifu, mwenzake watu wanasema ana ‘katabia’ ka kutaka kuwa faragha na  wanaume wenzake bila kujulikana nini anakitaka katika usiri huo.


Umati wa watu wakibaki midomo wazi kushangaa WANAUME WAWILI WAKILANA URODA GEST....
“Watu walimwambia mumewe hakuingia gesti na Kidawa bali mwanaume mwenzake. Kwanza mama Salome aliomba asitaniwe juu ya hilo, lakini akasisitiziwa,” alisema mtoa habari huyo.

NJE YA GESTI, MAMA SALOME AFUNGUKA

Akizungumza kwa jazba na waandishi wetu nje ya gesti hiyo, mama Salome alisema kwamba alipata taarifa siku nyingi mumewe ana ukaribu na mwanaume huyo ambaye mitaani watu wanasema  anajihusisha na vitendo vya ushoga.

“Nilipozipata taarifa hizi sikuziamini, nilidhani ni Kidawa ndiyo kaingia gesti na mume wangu, maana Kidawa ndiye mbaya wangu,” alisema mwanamke huyo kisha akazama ndani ya gesti akiwa na polisi ambao haikujulikana walikotokea.


Watuhumiwa hao Walifikishwa kituo cha Polisi..

Wakati wakitoa maelezo kwenye kituo cha polisi, mwanaume aliyekuwa na baba Salome alijitambulisha kwa jina la Julius Mwita, mkazi wa Devi’s Corner ana mke na watoto wawili na aliwaomba sana mapaparazi wamhifadhi kwani wakwe zake wakimuona ‘itakula kwake’.
“Jamani mapaparazi nipo tayari kwa lolote naomba sana tuyamalize hapahapa, mimi ni mume wa mtu, wakwe zangu wananiheshimu na kunithamini sana,” alisema Mwita.
Hata hivyo, pamoja na kilio hicho mwanaume huyo aliishia kuswekwa lupango na baadaye kuhamishiwa katika Kituo cha Polisi cha Chang’ombe kwa hatua zaidi.

No comments:

Post a Comment