MASTAA BONGO!
Wolper.
Diamond.
Aunt Ezekiel.
Chuz.
Jack wa Chuz.
Lulu.
Chalz Baba.
Wema.
WAKATI kampeni ya kupinga mapenzi ya mnyororo kwa wapenzi wengi inayoitwa Tuko Wangapi? Tulizana ikiendelea, utafiti uliofanywa umeonesha kuwa baadhi ya wasanii na mastaa Bongo, si mfano wa kuigwa kwani ndiyo wanaoongoza kwa kuwa na ‘mabebi’ wengi wakibadilishana mithili ya siti za daladala, blog ina ripoti kamili.
Utafiti wa blog hii umefumua mnyororo wa kila mmoja na hapa linauachia ili wahusika wajirekebishe:
WEMA
Wema Isaac Sepetu alitajwa mara nyingi zaidi akihusishwa kuunganishwa kwenye minyororo kuanzia kwa marehemu Steven Kanumba, Jumbe Yusuf Jumbe, Tuesday Kihangala ‘Mr Chuz’, Hartmann Mbilinyi, Charles Baba ‘Chaz’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambao nao walikuwa na wapenzi wengine, utawaona chini.
DIAMOND
Jamaa alianzia kwa Rehema Fabian, wakafuatia Pendo Mushi wa Maisha Plus, Jacqueline Wolper, Natasha, Wema, Jokate Mwegelo na sasa yupo kwa Wema tena. Watajwa wote hao nao walikuwa au wapo na wapenzi wengine.
MAREHEMU
Kanumba alitajwa na Wema, Nargis Mohamed, Sylvia Shally, Shalz na baadaye Elizabeth Michael ‘Lulu’. Nao walikuwa au wana wapenzi wengine.
JOKATE
Alitajwa na Hasheem Thabeet, Mbongo Fleva, Padri na Diamond. Nao wapo na wapenzi wengine baada ya Diamond kuunganishwa tena kwenye ule mnyororo wa Wema.
AUNT
Kwa upande wake, Aunt Ezekiel alianzia kwa Jack Pemba (mume wa mwanamke Mzungu), Hartmann (mume wa mtu), Mwilu Mwilola ‘Silva’ (mume wa Sarah Mwakapala ‘Bukabi’ ambaye naye (huyo Sarah) alikuwa na Mzungu wake), akaenda kwa Geofrey ‘Jeff’ na sasa Sunday Demonte. Wote hao walikuwa au wana wapenzi wengine.
WOLPER
Alitajwa kutoka na Diamond, Mjomba na sasa yupo kwa Dallas. Kwa Diamond ndipo alipounganishwa na watu wengi zaidi wakiwamo Wema, Jokate, Rehema Fabian, Natasha na Pendo.
CHAZ BABA
Jamaa aliunganishwa kwenye mnyororo wa Wema uliokuwa na akina Jumbe, Kanumba, Hartmann na Diamond lakini kabla ya hapo alikuwa mwandani wa Husna Iddi ‘Sajenti’, marehemu na sasa yupo na kifaa kingine.
MR CHUZ
Kazi kwelikweli, hapa pakawa mwisho wa matatizo, wakatajwa Leila Ismail ‘LiLy wa Mambo Hayo’, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’, Jacqueline Pentzel ‘Jack Chuz’, Rose Michael ‘Rose wa Chuz’ na sasa ana demu mpya. Hao wote, nao walikuwa au wapo na wapenzi wengine.
LULU
Kwa Elizabeth Michal ‘Kalulu Kadogo’, walitajwatajwa watu lakini mbali na Kanumba aliunganishwa kwa Ali Kiba ambaye naye alikuwa na Devotha wake.
JINI KABULA
Kutoka kwa Mr Chuz alikoacha mtoto, Jini Kabula akamvaa Nice Lucas Mkenda ‘Mr Nice’ (aliyekuwa na Lulu John na Rehema Fabian baada ya yule marehemu), akatajwa na msagaji Waukweli na sasa kabeba mimba ya msanii wa siku nyingi wa Bongo Fleva.
No comments:
Post a Comment