Aug 7, 2012

MSIBA DMV

MSIBA NI WETU SOTE.....

KAMA ILIVYO MILA NA DESTURI WATANZANIA TUUNGANE MKONO KUWALIWAZA WENZETU.

BI. SHANTALE HABIBA NA FARIDA, WAMEFIWA NA KAKA YAO TANZANIA.

MSIBA UPO...
2445 LYTTONSVILLE ROAD APT 1007
SILVER SPRING, MD 20910

KWA HABARI ZAIDI WASILIANA;

SHANTALE  240-778-7567
FARIDA  240-593-7370


No comments:

Post a Comment