Jul 16, 2012

CHADEMA WASHINGON DC YAPATA UONGOZI MPYA

Huyu ndie Mwenyekiti mpya wa CHADEMA tawi la Washington DC, Nfugu Cosmas Wambura, akiongea mambo machache Baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya.
Aliyekuwa Mwenyekiti aliyemaliza muda wake, Kalley Pandukizi Akimkabidhi kitabu cha katiba Na sera za chama Mwenyekiti mpya Ndugu Wambura.
Hao ndio viongozi wapya wa Chadema tawi la Washingon Dc. Mwenyekiti ndugu Cosmas Wambura na kati wake ndugu Isidory Lyamuya.

No comments:

Post a Comment