Jul 16, 2012

CHADEMA TAWI LA WASHINGTON DC.

Kutoka kushoto: Katibu mpya wa Chadema ndugu Isidory Lyamula, Mwenyekiti mpya ndugu Cosmas Wambura, Katibu aliyemaliza muda wake ndugu Liberatus Mwang'ombe,na Mwenyekiti aliyemaliza muda wake ndugu Kalley Pandukizi.
Hao ni baadhi tu ya wanachama wa Chadema Washington Dc walioshiriki katika uchaguzi wa viongozi wapya..

No comments:

Post a Comment