Jul 31, 2012

MSANII MAARUFU TANZANIA DIAMOND ALAZWA HOSPITALHii ni picha ya Diamond akiwa hospitali baada ya kubanwa ghafla na kifua na hivyo kwenda kufanyiwa uchunguzi ili kujua tatizo. Kwa mujibu wa Ommy Dimpoz ambaye ni mshikaji wake wa karibu tayari msanii huyo amesharuhusiwa lakini majibu ya vipimo vyake yatatoka kesho.
Miezi ya hivi karibuni Diamond amefululiza kufanya show katika mikoa mbalimbali bila kupata mapumziko ya kutosha na huenda hiyo ndio ikawa ni sababu.
Kupitia Twitter Diamond ameandika "Dah hali yangu si nzuri, naumwaaa."

3 comments:

 1. ameumia sana moyoni mwake msanii huyu. mbagala, safari, moyo wangu, binadamu na ninpende nani. msanii huimba anayoyapitia. hizi nyimbo zake zote ni shida za moyo tu zinazomsumbua.

  ReplyDelete
 2. Hi, the ωhole thing iѕ going sound here and ofcouгse every one is sharing
  data, that's really excellent, keep up writing.
  My webpage > tiny url

  ReplyDelete
 3. Hі thеre i am kavin, its my first
  timе to сοmmеnting anywhere, when і read
  thіs pοst і thοught і сοuld аlso make comment ԁue to thіs sensible article.
  Feel free to visit my page : formal dresses size 16

  ReplyDelete