Jul 5, 2012

JAQUELINE AJIELEZA KUHUSU MPAMBANO WAKE NA WEMA SEPETU

Msanii wa Filamu nchini, Jaqueline  Wolper, akizungumza na waandishi wa habari  jijini Dar es salaam leo, kuhusu pambano lake la ngumi na mpinzani wake, Wema Sepetu. Pambano hilo ambalo litakuwa la raundi 6 litakuwa ni mojawapo ya mapambano ya utangulizi kusafisha njia kwa mabondia Francis Cheka na Japhet Kaseba. Wolper amesema anaendelea kujifua ili kuhakikisha kwamba mpinzani wake(on and off stage) hatoki ulingoni bila “mchuzi”. Hayo yote yatajiri Uwanja wa Taifa siku ya Jumamosi 7/7/2012..Saba Saba.

No comments:

Post a Comment