Aug 20, 2012

GODLOVE MULIAHELA‏ : MWANAMUZIKI WA NYIMBO ZA INJILI KUTOKA TANZANIA AISHIYE UJERUMANI

Godlove Muliahela akifanya 'shooting' ya wimbo wake ambao utatoka hivi karibuni

  Ilikuwa ni wakati wa mapumziko hapa akiwa pamoja na 'producers' wake.
Kazi ya kuendelea kurekodi wimbo wake ikiendelea.

Akiwa pamoja na Mpiga picha wake wa video.


...akiwa pamoja na kwaya yake huko Ujerumani.
Kwa Taarifa zake zaidi Tembelea Website yake hapa
http://www.god-love.de/
 

No comments:

Post a Comment