Aug 10, 2012

MBIO ZA BAISKELI KANDA YA ZIWA..... Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Wilson Nkhambaku(kushoto) akimkabidhi Seni Konda kitita cha shilingi milioni moja ikiwa ni zawadi baada ya kuibuka mshindi katika mashinmdano ya Baiskeli Kanda ya Ziwa yaliyozaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania kupitia kinywaji chake cha Safari Lager wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku Kuu ya Wakulima ya Nane nane.Kulia ni Ofisa mauzo wa Kanda ya Ziwa, Malaki Sitaki.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Wilson Nkhambaku(kushoto) akimkabidhi Elizabeth Clement kitita cha shilingi laki saba ikiwa ni zawadi baada ya kuibuka mshindi katika mashinmdano ya Baiskeli Kanda ya Ziwa yaliyozaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania kupitia kinywaji chake cha Safari Lager wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku Kuu ya Wakulima ya Nane nane.Kulia ni Ofisa mauzo wa Kanda ya Ziwa, Malaki Sitaki.
 Washiriki wa mashindano hayo wakishindana
 Mmoja ya washiriki wa mashindano ya baiskeli wanawake akimalizia mbio za kilometa 150

No comments:

Post a Comment