
MWANAMUZIKI wa Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ amefunguka kuwa amekata tamaa ya kuishi kwa vile ameota ndoto kuwa mwisho wake wa kuishi duniani umekaribia.
Akichezesha taya na paparazi wetu Jumatatu ya wiki hii jijini Dar, Banza alisema hivi karibuni aliota ndoto anakufa na alioneshwa jinsi kifo chake kitakavyokuwa, ataugua ghafla na kufariki dunia.
No comments:
Post a Comment