Sep 13, 2012

ZIARA YA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA WILAYANI UKEREWE ...


 Waziri Mkuu, Mizengo Pinnda na Mkewe Tunu (kushoto) wakivuka katika Pantoni ya MV Ujenzi  kutoka Kisorya hadi Rugezi  Ukerewe wakiwa katika ziara ya mkoa wa Mwanza  Septemba 11, 2012.  Aliyekaa kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Evarest Ndikilo na kushoto kwake ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mwanza, Clement Mabina.


Wasanii wakitumbuiza wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Getreude Mongella  mjini Nansio akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mwanza, Septemba 11, 2012.

No comments:

Post a Comment