Sep 3, 2012

HIYO NYINGINE DIAMOND AKIPAGAWISHA DMV
Diamond The Platnum akijibwaga,,

Pendezaje Diamond,,,,


 
Diamond akiimba kwa kutoka rohini huku alitaja jina la mpenzi wake Wema Sepetu.
MMh Miondoko haikuwa ya mchezo


Nimpende nani,,,,

Mwenyekiti wa CCM DMV Miss Loveness Mamuya akimtunza Diamond,,,,,

PICHA NYINGINE NYINGI ZINAKUJA MAMBO YALIKOLEA SANA NA KUPENDEZA MNO,,,,No comments:

Post a Comment