Oct 10, 2012

CHUNGULILI FROLA MVUNGI,,, FICHA MWAYA,,,,,, NYAU ASIJE KUIBA BUREEE,,,

SIKU chache baada ya kuvishwa pete ya uchumba, bibi harusi mtarajiwa ambaye ni mwigizaji Bongo, Flora Mvungi amenaswa akiwa ametinga kivazi kifupi kilichosababisha maeneo yake muhimu kuwa wazi.
Mpango mzima ulipigwa chabo na paparazi wetu juzikati katika Viwanja vya Leaders Club ambapo mwanadada huyo alikuwa ametimba kula bata na mchumba wake,  Hamis Ramadhan ‘H.Baba’.
Akiwa maeneo hayo, kutokana na nguo fupi aliyokuwa amevaa, kuna wakati alijikuta akikaa vibaya na kuzifanya sehemu zake nyeti kuonekana ambapo alilazimika kutumia mikono yake kujisitiri.
Hata hivyo, kivazi hicho kilisababisha minong’ono kwa baadhi ya watu waliokuwepo eneo hilo. “Mh! Hiki kivazi cha shemeji leo balaa. Ona kila akiweka pozi, mambo yanakuwa hadharani, mastaa wetu bwana” alisikika akisema mmoja wa wanaume waliokuwa wakimpiga chabo.

No comments:

Post a Comment