Oct 10, 2012

RAIS KIWETE AMWAPISHA MKUU MPYA WA JESHI LA MAGEREZA NCHINI, KAMISHNA JENERALI JOHN CASMIRI MINJA



 Mkuu mpya wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali  John Casmiri Minja akila kiapo mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo aubuhi.
Mkuu mpya wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Casmir Minja akipokea miongozo ya kazi kutoka kwa Amiri Jeshi Mkuu, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa hafla ya kuapishwa iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.

No comments:

Post a Comment