Oct 17, 2012

DIAMOND AWAONYA WATU WOTE KUHUSU SCAM ZA FACEBOOK ...

IEPUKENI ACCOUNT HII YA "Diamond Platnumz Swaqq" KWENYE FACEBOOK SI YAKWANGU NI FEKI!!!

Kiukweli nimevumilia sana hii tabia ila naona kama uzalendo umenishinda...mara kwa mara nimekuwa nikipokea malalamiko toka kwa wadau wangu mbalimbali kuwa nawajibu vibaya kwenye account yangu ya Facebook,Kucomment maneno machafu,Ku_upload picha chafu,Kuomba vocha,Kuomba pesa kwa njia ya Western union, M-pesa,Tigo Pesa na kadharika...kiukweli jambo hilo limekua likinisikitisha sana...hususan kupitia katika account hiyo chini yenye jina la "Diamond Platnumz Swaqq" pamoja na Account zingine nyingi zenye majina na picha zangu.... hivyo ningependa kuchkua fulsa hii kuwajuza Mashabiki na wadau wangu kua Account hiyo yenye jina la "Diamond Platnumz Swaqq" si ya kwangu ni ya mtu Fake ambae anatumia jina na picha zangu kuwachezea akili zenu....pili ningependa kukukaribisha rasmi katika Fan Page yangu iliyopo pembeni mwa Blogsite hii,uiLIKE page hiyo ili uweze kuungana na mimi na kuwa mtu wa kwanza kupata taarifa,kazi na matukio yangu yote ya kila siku kwa haraka zaidi.....


 1. [Chorus]
  kama hadith za babu nimewahi kuziskia
  ama story za vitabu nilowahi kujisimulia
  penzi langu icwe sababu ya wewe kunichukia
  kaja nipa mimi taabu ukaniacha mimi nalia.......!!!!!
  *Wasafi*
 2. kuwazaga kamchezo kabaya ona mwili unazizima
  mapigo ya moyo yanandunda vbaya nasisimka mwili mzima
  we mwenyewe unaelewa kwako mi sijiwezi ushanishika moyo tena bwege wa mapenzi kabisa poyoyo
  pumzi inakata unapôniangalia nashikwa na hayaa nainama
  ukitum hasa na kunikumbatia ndio unakosha moyo wangu

No comments:

Post a Comment