Oct 25, 2012

HONGERA SANA SEBASTIAN MAGANGA,,,, U MADE IT BRO,,,,


Siku ya Ijumaa ya tarehe 19 ya mwezi huu familia ya bwana Sebastian Maganga ambaye ni mkuu wa vipindi Clouds FM alijaliwa kumpata mtoto wa pili wa kiume aliyepewa jina la Imani.

No comments:

Post a Comment